Angalia Tamasha la Apple "Unleashed" Ndani ya DK 13 1

Angalia Tamasha la Apple “Unleashed” Ndani ya DK 13

Kampuni ya Apple kwa mara nyingine inakuja na tamasha jipya ambapo kampuni hiyo inatangaza kuhusu mambo mapya kwenye bidhaa zake.

Mara baada ya Apple kufanya tamasha lake la “Unleashed” hapo siku ya jana october 18, hatimaye hivi leo unaweza kuangalia yote yaliyojiri hapo siku ya jana ndani ya DK 13.

Mambo unayo pengine utarajie kusikia ni kuhusu uzinduzi wa earpods mpya, huku kubwa ikiwa uzinduzi wa Macbook Pro Mpya.

Kwa habari zaidi kuhusu vyote vitakavyo zinduliwa hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania tech tutakupa habari zote.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Sponsored : Jiandae na Simu Mpya ya Infinix NOTE 2
Sponsored : Jiandae na Simu Mpya ya Infinix NOTE
Next Post
Kampuni ya Facebook Kufikiria Kubadilisha Jina Lake 3

Kampuni ya Facebook Kufikiria Kubadilisha Jina Lake