Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Apple Spring (2021) Dakika 11 1

Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Apple Spring (2021) Dakika 11

Kampuni ya Apple hapo jana ilifanya uzinduzi wa bidhaa zake mpya kupitia kwenye mkutano wa Apple Spring (2021), kupitia mkutano huo yapo mengi ambayo yalitangazwa lakini muhimu ikiwa ni pamoja na ujio wa kompyuta mpya ya iMac (2021), pamoja na iPad ya inch 12.9 (2021).

Bila kusahau Airtag, kifaa kipya kabisa kutoka Apple ambacho kitakusaidia kuweza kupata vitu vyako kwa urahisi pale unapo vipoteza. Ikiwa bado tunakuandalia makala zinazohusu bidhaa hizo basi moja kwa moja unaweza kuangalia yote yaliyojiri kwenye mkutano huo kupitia video hapo chini yenye dakika 11 tu.

Kujua zaidi kuhusu bidhaa hizi mpya za Apple hakikisha unaendelea kutembelea tovuti ya Tanzania tech ikiwa pamoja na tovuti ya priceintanzania.com

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Maujanja Unayoweza Kufanya Kwa Kutumia Programu ya VLC 2
Maujanja Unayoweza Kufanya Kwa Kutumia Programu ya VLC
Next Post
Simu Mpya, iPad Pro (2021), Tecno Spark 7, Infinix Hot 10S 3

Simu Mpya, iPad Pro (2021), Tecno Spark 7, Infinix Hot 10S