Sunday Movie #14 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili 1

Sunday Movie #14 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili

Habari na karibu kwenye kipengele cha sunday Movie #14, wiki iliyopita hatukua na kipengelea hichi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Kama wewe ni mpenzi wa kipengele hichi unaweza kutoa maoni hapo chini kama unataka tuendelee na kipengele hichi.

Kwa siku ya leo nakurudisha nyuma kidogo mwaka 2018 na hii ni moja ya filamu nzuri sana ambayo unaweza kufurahia kuangalia siku ya leo. Unaweza kuangalia Trailer kupitia hapo chini.

Kama umependa movie hii unaweza kupakua kupitia hapo chini, kama kawaidia kumbuka link hizi zinaweza kuondolewa muda wowote hivyo hakikisha unapakua sasa kama wewe ni mpenzi wa filamu.

Pakua 480p (MB 551)

Pakua 720p (GB 1.2)

Kama unataka movie zaidi unaweza kusoma hapa kujua movie nzuri ya sunday movie #13 iliyopita kwa wiki zilizopita. Mpaka siku nyingine nakutakia Jumapili njema yenye baraka!

Previous Post
Tovuti Inayo Tengeneza Hadi Dollar $300 Kwa Mwezi 2
Tovuti Inayo Tengeneza Hadi Dollar $300 Kwa Mwezi
Next Post
Baadhi ya Huduma za Google Zakosekana Hewani Kwa Muda 3

Baadhi ya Huduma za Google Zakosekana Hewani Kwa Muda