Popular Now
Claude Mythos Toleo Jipya la AI Lenye Kutishia Usalama 5

Claude Mythos Toleo Jipya la AI Lenye Kutishia Usalama

Google is Introducing a Search Bar Within Play Store Reviews 6

Google is Introducing a Search Bar Within Play Store Reviews

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 7

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Video : Ugumu na Ubora wa Simu Mpya ya iPhone 12 Pro 8

Video : Ugumu na Ubora wa Simu Mpya ya iPhone 12 Pro

Mpaka sasa simu mpya za iPhone 12 ni moja ya simu ambazo zinanunua kwa wingi hii inatokana na simu kupendwa na watu wengi kute dunaini kiasi cha kufanya kampuni hiyo kuongeza uzalishaji tofauti na awali kampuni hiyo ilivyo tabiri.

Sasa kuliona hili leo nimeona tuangalie ugumu na ubora wa simu hizi ikiwa pamoja na yaliyomo ndani ya simu hii, bofya hapo chini kuangalia video inayoonyesha ugumu na ubora wa iPhone 12 Pro.

Kujua zaidi unaweza kusoma hapa kujua sifa na bei ya iPhone 12, iPhone 12 SE pamoja na iPhone 12 Pro bila kusahau iPhone 12 Max.

Previous Post
Kampuni ya Infinix Kumalizia Mwaka na Simu Mpya ya Note 9

Kampuni ya Infinix Kumalizia Mwaka na Simu Mpya ya Note

Next Post
Wateja Wanaongea Nini Kuhusu Simu ya TECNO Spark 5 Pro 10

Wateja Wanaongea Nini Kuhusu Simu ya TECNO Spark 5 Pro