Popular Now
Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 1

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra 2

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini 3

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini

Sunday Movie #7 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili 4

Sunday Movie #7 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Karibu kwenye sunday movie, kama kawaida kupitia hapa nakuletea movie nzuri ambazo unaweza kuangalia hapo nyumbani kwako leo siku ya jumapili. Kama ulipitwa na sunday movie zilizopita basi unaweza kusoma zaidi hapa, au unaweza kutafuta “Sunday Movies” kupitia sehemu ya kutafuta na utapata movie zote tulizo zichagua kwa jumapili zilizopita.

Kwa siku ya leo nina kuletea Series ambayo hii kwa kiswahili ni Tamthilia, Series hii inahusiana na teknolojia na imeanza kuonyeshwa kuanzia mwaka 2018 hadi sasa na inapatikana kwa Season mbili ambazo tayari zimesha kamilika. Series hii inaitwa Altered Carbon.

Download Altered Carbon season 1

Kama umemaliza kuangalia Season 1 unaweza moja kwa moja kuendelea na series kwa kuangalia sehemu inayofuata ndani ya Season 2 kupitia link hapo chini.

Download Altered Carbon season 2

Previous Post
Infinix Yazindua Rasmi Toleo Jipya la Simu ya Infinix HOT 10 5

Infinix Yazindua Rasmi Toleo Jipya la Simu ya Infinix HOT 10

Next Post
Kampuni ya TECNO Kuwa Sehemu ya Simu Pendwa Zaidi Duniani. 6

Kampuni ya TECNO Kuwa Sehemu ya Simu Pendwa Zaidi Duniani.