Popular Now
Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 1

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra 2

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini 3

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini

Jinsi ya Kudivert SMS Kutoka Simu Moja Kwenda Nyingine 4

Jinsi ya Kudivert SMS Kutoka Simu Moja Kwenda Nyingine

Ni wazi kuwa SMS bado zinayo nafasi kubwa sana, hasa uki zingatia ni ngumu kutumia baadhi ya huduma mbalimbali za kifedha kwenye simu yako bila kutumia SMS, ndio maana leo nimekuletea njia mpya na rahisi ya ku-forward au ku-divert SMS kutoka simu moja kwenda nyingine bila kushika simu hiyo mara kwa mara.

Kumbuka njia hii ni kwa ajili ya watumiaji wa simu za Android hivyo kama unatumia simu yenye mfumo wa iOS basi njia hii bado haitaweza kukusaidia. Baada ya kusema hayo moja kwa moja twende kwenye njia hii rahisi.

Baada ya kuangalia video hapo juu natumaini utakuwa umeweza kudivert SMS kutoka kwenye simu moja kwenda kwenye simu nyingine. Unaweza ku-download app iliyotajwa kwenye video hapo juu kupitia link Hapa.

Kama unataka kujifunza zaidi unaweza kuangalia video hapo chini kujua jinsi ya ku-divert simu kwa urahisi na haraka, unaweza kusoma zaidi kupitia hapa.

Kwa maujanja zaidi hakikisha una jiunga nasi kupitia kwenye channel ya Tanzania Tech kupitia mtandao wa YouTube, Kupata habari za teknolojia kila siku hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania Tech kila siku.

Previous Post
Kampuni ya Infinix Mbioni Kuzindua Infinix ZERO 8 Tanzania 5

Kampuni ya Infinix Mbioni Kuzindua Infinix ZERO 8 Tanzania

Next Post
Apple Yatangaza Kuzindua iPhone 12 Septemba 15 6

Apple Yatangaza Kuzindua iPhone 12 Septemba 15