Badilisha Muonekano wa Simu Yako kwa Wallpaper Hizi 1

Badilisha Muonekano wa Simu Yako kwa Wallpaper Hizi

Kama wewe ni kama mimi na umekuwa na wallpaper moja kwa muda mrefu pengine makala hii ni kwa ajili yako. Ukweli ni kwamba, sio kawaida kwa mimi kuandika makala inayohusu wallpaper lakini leo imenibidi, kama nimefanya kazi nzuri unaweza kuniambia kwenye maoni hapo chini.

Makala hii itakuwa fupi pengine kuliko makala nyingine hii ni kutokana na kuwa sina mengi ya ku-kwambia zaidi ya kukusihi ujaribu wallpaper hizo kwenye simu yako alafu unipe maoni yako.

Badilisha Muonekano wa Simu Yako kwa Wallpaper Hizi 2

Kwa kuanza unaweza kuingia kwenye soko la Play Store kisha pakua app ya Walli, app hii inapatikana kwa kubofya link hapa au unaweza kubofya hapo chini na utapelekwa kwenye soko la Play Store kwa ajili ya kupakua app hiyo.

App hii ina muda mrefu sana kwenye soko la Play Store lakini naweza kubwambia kuwa app hii ni app bora sana kama unataka kubadilisha muonekano wa simu yako kwani ina wallpaper mpya kila siku.

Previous Post
Zifahamu Hizi Hapa Apps Nzuri Kwa ajili ya Afya ya Akili 3

Zifahamu Hizi Hapa Apps Nzuri Kwa ajili ya Afya ya Akili

Next Post
Anzisha Biashara Mtandaoni Leo (Mawazo ya Biashara) 4

Anzisha Biashara Mtandaoni Leo (Mawazo ya Biashara)