Jinsi ya Kutengeneza Website kwa Kutumia Smartphone (Part 2) 1

Jinsi ya Kutengeneza Website kwa Kutumia Smartphone (Part 2)

Kama wewe ni msomaji wa tovuti ya Tanzania Tech najua unajua kuwa kipindi cha nyuma tulijifunza awamu ya kwanza ya jinsi ya kutengeneza tovuti ya muziki kwa kutumia smartphone. Leo tunaendelea na awamu ya pili ya video hiyo na leo nimekuletea jinsi ya kutengeneza domain ya bure pamoja na kuiweka kwenye tovuti yetu tuliyo tengeneza kwenye video iliyopita.

Kumbuka kama bado huja angalia video iliyopita unaweza kuangalia video hii kupitia hapo chini, kumbuka ni muhimu kuangalia video zote ili kujua ni mahali gani ambapo unatakiwa kuanzia.

https://www.youtube.com/watch?v=C_G4WLBSCP0

ANGALIA VIDEO ILIYOPITA HAPA

https://youtu.be/5l0GhN2b0Lo

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Afrika Kusini Nchi ya Kwanza Afrika Kuwa na Mtandao wa 5G 2
Afrika Kusini Nchi ya Kwanza Afrika Kuwa na Mtandao wa 5G
Next Post
Apps za Instagram Mbioni Kuja na Muonekano Mpya wa Giza 3

Apps za Instagram Mbioni Kuja na Muonekano Mpya wa Giza