Video: Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Huawei Mate 30 1

Video: Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Huawei Mate 30

Kampuni ya Huawei hivi punde inaenda kutangaza ujio wa simu zake mpya za Huawei Mate 30 na Mate 30 Pro, Angalia hapa mubashara uzinduzi huu kutoka huko nchini ujerumani. Simu hizi zinategemewa kuzinduliwa bila programu za Google wala huduma yoyote ile ya Google, angalia hapa ili kuweza kujua simu hii sasa inatumia nini.? Angalia hapa mubashara..!

https://www.youtube.com/watch?v=BMd7ZX-eXY4

Previous Post
Kampuni ya Vodacom Tanzania Yaja na Ofa ya Bonge la Bando 2
Kampuni ya Vodacom Tanzania Yaja na Ofa ya Bonge la Bando
Next Post
Zifahamu Hizi Hapa Sifa na Bei ya Huawei Mate 30 na Mate 30 Pro 3

Zifahamu Hizi Hapa Sifa na Bei ya Huawei Mate 30 na Mate 30 Pro