Popular Now
Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 1

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra 2

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini 3

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini

Jinsi ya Kuchati Bure Hata Kama Huna Bando au Salio 4

Jinsi ya Kuchati Bure Hata Kama Huna Bando au Salio

Habari na karibu tena kwenye maujanja, siku ya leo ninaenda kukuonyesha njia fupi ambayo unaweza kutumia na ndugu jamaa na marafiki kuchati bila kuwa na Internet, kumbuka njia hii inafanya kazi pale unapokuwa uko karibu na unaetaka kuchat nae.

Vitu vya msingi unavyotakiwa ni pamoja na uwezo wa kudownload app kupitia Play Store pamoja na simu yoyote ya Android yenye uwezo wa bluetooth. Kumbuka pia ili kusudi uweze kuchat kwa urahisi wewe na unaetaka kuchati nae ni vyema wote mfuate hatua hizi.

Download App Hapa

Kama umefuata hatua hizi kwa usahihi basi najua utakuwa umeweza kuchat bila kutumia internet, kama nilivyo kwambia awali njia hii ni nzuri kama unataka kuchat na mtu ambayo mko kwenye ofisi moja au darasa moja au hata mahali popote ambapo wote mnapatikana kwenye eneo moja.

Kumbuka kila simu inakuja na uwezo tofauti wa bluetooth hivyo simu zingine zinaweza kwenda masafa marefu zaidi na nyingine zikiwa na uwezo mdogo zaidi kwa upande wa umbali.

That’s it guys i hope umejifunza kitu siku ya leo. Kama unataka kujifunza zaidi, unaweza kusoma maujanja zaidi jinsi ya kupata angalau $5 kila siku. Kama unataka kujfunza zaidi tembelea channel yetu ya Tanzania tech hapa.

Previous Post
WhatsApp Yaja na Username Badala ya Namba ya Simu 5

WhatsApp Yaja na Username Badala ya Namba ya Simu

Next Post
Apps (5) za Muhimu Kuwa Nazo Kwenye Android TV (2026) 6

Apps (5) za Muhimu Kuwa Nazo Kwenye Android TV (2026)