Instagram akaunti yako

Hivi Unayo Akaunti ya Instagram..? Unajua ni Aina Gani..?

Ukweli ni kuwa baada ya kuona video hii nimewaza sana na kusema ni kweli kwamba Tanzania Bado tuko nyuma sana kwenye maswala ya teknolojia. Unaweza kudhani kuwa inawezekana sababu kitu kinajulikana na watu wengi au kwa sababu wewe unakitumia, basi na watu wengine huwenda wanakifahamu lakini ukweli ni kuwa bado tuna kazi ya ziada kuelimisha watu kuhusu maswala ya Teknolojia hasa hapa kwetu Tanzania.

Je wewe kwa upande wako unaonaje..? akaunti yako ni Junior au Saving Akaunti tuambie kwenye maoni hapo chini. Tuna watakia wote sikukuu njema ya Eid el Fitri.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Infinix Note 5
Tetesi : Infinix Kuja na Simu Mpya ya Infinix Note 5 Mwezi Huu
Next Post
WhatsApp Kwenye Kompyuta Windows

WhatsApp Kuja na Programu Mpya Kwaajili ya Kompyuta