Popular Now
Claude Mythos Toleo Jipya la AI Lenye Kutishia Usalama 5

Claude Mythos Toleo Jipya la AI Lenye Kutishia Usalama

Google is Introducing a Search Bar Within Play Store Reviews 6

Google is Introducing a Search Bar Within Play Store Reviews

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 7

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Spidi ya Internet Kwenye Simu

Ongeza Spidi ya Internet Kwenye Simu kwa Programu Hizi

Smartphone au simu janja zimekua ni sehemu ya maisha ya kila mtu siku hizi, simu hizi zimekua ni msaada mkubwa sana iwe wewe ni mwanafunzi, mfanyakazi, muandishi wa habari au hata mtu yoyote yule, ukweli ni kwamba smartphone ni moja kati ya vifaa kazi muhimu sana.

Lakini kila mtu anajua kuwa Smartphone bila internet ni sawa na kuwa na kompyuta bila umeme, internet imekuwa ni kitu muhimu sana kwenye simu hizo pengine ndio sababu simu hizi kuitwa smartphone kwani asilimia 90 ya programu kwenye simu hizi hutumia internet.

Ndio sababu leo tunakuletea programu kumi ambazo zinaweza kukusaidia kuongeza spidi ya internet kwenye simu yako ili kukufanya uweze ku-enjoy vizuri simu janja yako au smartphone.

  • Internet Booster & Optimizer
Ongeza Spidi ya Internet Kwenye Simu kwa Programu Hizi 8
The app was not found in the store. :-(

Programu hii inatumiwa na watu zaidi ya 1,000,000 na ina jumla ya maoni 223,825 na kati ya maoni hayo maoni 153,428 yanaseama programu hii inafanya kazi vizuri.

  • Network Signal Speed Booster
Ongeza Spidi ya Internet Kwenye Simu kwa Programu Hizi 9
The app was not found in the store. :-(

Programu hii inatumiwa na watu zaidi ya 1,000,000 na ina jumla ya maoni 72,525 na kati ya maoni hayo maoni 49,226 yanasema programu hii inafanya kazi vizuri.

  • Free Internet Speed Booster
Ongeza Spidi ya Internet Kwenye Simu kwa Programu Hizi 10
The app was not found in the store. :-(

Programu hii inatumiwa na watu zaidi ya 500,000 na ina jumla ya maoni 14,984 na kati ya maoni hayo maoni 7,738 yanasema programu hii inafanya kazi vizuri.

  • Internet Speed Booster
Ongeza Spidi ya Internet Kwenye Simu kwa Programu Hizi 11
The app was not found in the store. :-(

Programu hii inatumiwa na watu zaidi ya 100,000 na ina jumla ya maoni 3,871 na kati ya maoni hayo maoni 2,165 yanasema programu hii inafanya kazi vizuri.

Hizo ndio programu ambazo kutoka na majaribio yetu binafsi tumeona kuwa kwa kiasi flani programu hizi zinasaidia kuongeza (speed) ya internet kwenye simu yako.

Kwa habari zaidi za teknolojia unaweza kujiunga nasi kupitia page zetu za Facebook, Instagram, Twitter pamoja na Youtube, pia kama unataka kupata habari za teknolojia kwa haraka pindi zitakapo toka unaweza kudownload App ya Tanzania tech kupitia Play store.

Previous Post
Yahoo

Yahoo Yadukuliwa na Akaunti Bilioni Moja Zachukuliwa

Next Post
Simu mpya ya Honor Magic

Simu Hii Haito Onyesha Ujumbe Mfupi Kama Wewe Sio Mwenyewe