Google

Google Yazinduwa Programu Mpya Kwaajili ya Phonebook

Hivi karibuni kampuni ya Google imetangaza programu yake mpya kwaajili ya Android, Programu hii imetengenezwa maalumu kwaajili ya majina ikiwa inakupa uwezo wa kuangalia mahali watu walipo ndani ya Phonebook hiyo.

Programu hiyo maalumu kwaajili ya Android inakupa uwezo huo kwa kuongeza majina kwenye programu hiyo yani (whitelist) baada ya hapo unaweza kuanza kuona sehemu watu hao walipo.Trusted Contacts ndio jina la programu hiyo ambayo sasa ipo kwenye soko la Play Store, pia unaweza kudownload programu hiyo kwa kubofya hapo chini.

Google Yazinduwa Programu Mpya Kwaajili ya Phonebook 1
The app was not found in the store. :-(

Kama una maoni yoyote kuhusu programu hii tuandikie maoni hapo chini au unaweza kujiunga na majadiliano kwenye mitandao yetu ya kijamii ya  Facebook, Twitter na Instagram pamoja na Youtube kama unataka kujifunza mambo mbalimbali ya teknolojia kwa njia ya Video. Pia kama unataka kupata habari zote za teknolojia kwa haraka unaweza kudownload sasa App yetu ya Tanzania tech kutoka Play Store na hivi karibuni itapatikana kupitia App Store.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
programu-bora
Hizi Ndio Programu Bora za Android Zilizotangazwa na Google
Next Post
ios-10-2-beta-6

Sasa Unaweza Kudownload Toleo Jipya la iOS 10.2 beta 6