Apples WWDC 2016

Angalia Hapa Mkutano wa Apples WWDC 2016 keynote

Kampuni kubwa ya Apple leo imefanya mkutano wake ambao ulishirikisha mamia ya watu ambao walienda kuangalia Apples watakuja na nini mwaka huu, basi kama ulikosa tukio lote hili tanzania tech kama kawaida tunakuletea show nzima jinsi ilivyokua na pamoja na uzinduzi mwingi tofauti.

Basi Jiweke swa ili uende ukangaliae mkutano huo live kabisa kupitia blog yako ya teknolojia ya tanzania tech pia usisahau, Kama umeipenda hii usisite kulike page yetu ya Facebook pamoja na Twitter ili kupata habari mpya pindi zinapotoka, pia kwa kujifunza mambo mbalimbali kwa vitendo unaweza ku subscribe kwenye Youtube Channel yetu hapa Tanzania tech blog.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
whatsapp qoute
Sasa Unaweza Ku-qoute Meseji Kwenye Whatsapp
Next Post
Akaunti mbili

Jinsi ya Kutumia Akaunti Mbili za Kila Programu kwenye Simu Yako