in

Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa iPhone 14

Soma hapa kujua yote yaliyojiri kwenye uzinduzi wa iPhone 14

Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa iPhone 14

Kama unataka kuangalia uzinduzi mzima wa simu mpya za iPhone 14 basi unaweza kuangalia hapa moja kwa moja uzinduzi huo, ila kama unataka kujua zaidi basi endelea kutembelea Tanzania Tech tutakuletea uzinduzi huu ukiwa ndani ya dakika chache.

 

Mambo ya Kutegemea Kwenye Uzinduzi wa iPhone 14

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.