in

Fuatilia Mpira Simba na Yanga Kwa Kutumia Njia Hii

Kupitia njia hii utaweza kufuatailia mechi zote za simba na yanga na nyingine duniani

Fuatilia Mpira Simba na Yanga Kwa Kutumia Njia Hii

Kama unapendelea kufuatilia michezo mbalimbali ikiwa pamoja na michezo ya simba na yanga ya hapa Tanzania basi njia hii ni kwaajili yako.

Kupitia njia hii itakusaidia kupata taarifa za michezo yote duniani ikiwa pamoja na michezo pendwa ya mpira wa miguu ya simba na yanga ya hapa Tanzania, pia utaweza kufuatilia mpira wa kikapu na michezo mingine yote duniani.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Mbali na hayo, kama wewe ni ungependa kufuatilia Ligi za Tanzania basi usijali kwani njia hii inayo kila kitu ambacho mwana michezo anapendelea, uwe ni mpenzi wa michezo ya Tanzania au nje ya nchi njia hii itakupa taarifa zote unazotaka.

Fuatilia Mpira Simba na Yanga Kwa Kutumia Njia Hii

Mbali na hayo utaweza kujua mpangilio wa timu, point za timu husika pamoja na kila kitu kama vile mahali ambapo michezo huchezwa, ratiba ya mechi na mengine mengi yote ya muhimu.

Fuatilia Mpira Simba na Yanga Kwa Kutumia Njia Hii

Mbali na hayo utaweza kufuatilia michezo kwa kupata matokeo Live (Mubashara) moja kwa moja pamoja na kufuatia magoli kati ya timu mbalimbali. Kitu cha muhimu ni kuchagua ligi unayo ipendelea zaidi kisha moja kwa moja anza kupata matokeo ya michezo kutoka ligi husika.

Fuatilia Mpira Simba na Yanga Kwa Kutumia Njia Hii

Mbali na hayo utaweza kusoma habari mbalimbali kutoka ndani na nchi na nje ya nchi kulingana na ligi uliyochagua mwanzoni, pia unaweza kuchagua timu na kuweza kuifuatilia kwenye ligi zote ikiwa pamoja na kufuatilia habari za mchezaji unaempenda ikiwa pamoja na siku ambazo mchezaji huyo anacheza.

Fuatilia Mpira Simba na Yanga Kwa Kutumia Njia Hii

Mbali na hayo utaweza kuona Highlights za michezo mbalimbali hii ikiwa ni pamoja na michezo iliyo tokea dakika chache zilizopita ikiwa pamoja na ile ambayo imetokea siku za nyuma.

Fuatilia Mpira Simba na Yanga Kwa Kutumia Njia Hii

Pia utaweza kupata habari za kuhusu kuuzwa na kununuliwa kwa wachezaji mbalimbali ikiwa pamoja na habari yoyote mpya ya michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania na sehemu nyingine.

Fuatilia Mpira Simba na Yanga Kwa Kutumia Njia Hii

Pia kwa wale ambao wanapenda michezo ya kubet, kupitia app hii utaweza kupata tip za kubeti kulingana na mchezo uliyo ichagua, utaweza kupata taarifa ni mchezo gani wa kubet na timu gani ambayo inayo odds za juu zaidi.

Fuatilia Mpira Simba na Yanga Kwa Kutumia Njia Hii

Kifupi ni kwamba, kama wewe ni mpenzi wa habari za michezo basi njia hii ni moja kati ya app muhimu sana kuwa nayo kwenye simu yako kuanzia siku ya leo. App hii haina matangazo na unaweza kutumia bure kabisa na bila kizuizi chochote. Unaweza kujaribu app hii kupitia link hapo chini.

Download App Hapa

Kama umependa app hii basi unaweza kutoa maoni yako kupitia link hapo chini, au kama unataka kujua zaidi kuhusu habari za michezo basi unaweza kusoma hapa kujua kuhusu tovuti ya klabu ya mpira wa miguu ya Simba SC.

Kwa habari zaidi kuhusu michezo na teknolojia basi hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania tech kila siku.

Fuatilia Mpira Simba na Yanga Kwa Kutumia Njia Hii
Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Jinsi ya Kuongeza Speed ya Internet Kwenye Simu Yako

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.