in

Jinsi ya Kucheza Game za PlayStation Kwenye Smartphone

Cheza game za PSP kwenye simu yako ya mkononi ya Android

Game za Playstation kupitia Android8:36

Karibu kwenye maujanja na leo maujanja haya ni kwaajili ya wapenzi wa game, kupitia maujanja haya utaweza kujifunza njia rahisi ambayo itakusaidia kuweza kucheza Game mbalimbali za Playstation kwenye smartphone yako ya Android.

Kumbuka njia hii haitaji kuwa mtaalam wa kompyuta wala haitaji kuwa mtaalamu wa simu za Android unachohitaji ni kuhakiksha unakuwa na simu yako ya Android na unakuwa na internet kwenye simu yako, na kama tayari unavyo vitu vyote hivyo basi twende tukajifunza maujanja haya moja kwa moja.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Kwanza ingia kwenye soko la Play Store kisha download App mpya ya PPSSPP Emulator, Unaweza kuipata App hiyo kwa kudownload kupitia Link Hapo chini. Baada ya kudownload na kuinstall vizuri app hiyo fungua App hiyo kisha fuata hatua zifuatazo.

PPSSPP - PSP emulator

Download App Hapa

NOTE : HAKIKISHA UNAWEKA TIKI KWENYE SEHEMU HIZI
– Immersive mode.
– Mipmapping.
– Hardware transform.
– Software skinning.
– Vertex cache.
– Lazy texture caching.
– Disable slower effects.
– Timer hack.

Unaweza kudownload Games mpya za PSP kwaajili ya kucheza kwenye simu yako kupitia hapo chini. Unaweza kudownload kwenye mfumo wa ISO kisha tumia njia hapo juu kucheza game hiz kwenye simu yako ya mkononi ya Android.

Download Games za PSP Hapa

Kama unataka kujifunza zaidi unaweza kusoma hapa kujua hatua kwa hatua jinsi ya kucheza games za Android kwenye kompyuta, soma hapa kujua zaidi.

Jinsi ya Kucheza Game za PlayStation Kwenye Smartphone
Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Njia Bora ya Kudhibiti Matumizi ya Smartphone kwa Watoto

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

One Comment

  1. Games,savedata,textures,zote nimeweka
    kutumia zarchiver ila limegoma kucheza shida nini msaada jamni ..Jamani mimi hatua zote nimefuata za kuseti ppsspp za game la pes2020 ila halichezi inaniletea tu zile front features tu.