in

Smartwatch za Bei Rahisi Unazoweza kununua Kwa Sasa

Zifahamu hizi hapa smartwatch ambazo unaweza kununua kwa sasa kwa bei rahisi

Smartwatch za Bei Rahisi Unazoweza kununua Kwa Sasa

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao unataka kwenda na muda kisasa basi ni wazi kuwa unahitaji kuwa na Smartwatch, kupitia makala hii nimekuletea list ya smartwatch ambazo unaweza kununua kw bei rahisi chini ya TZS 100,000.

Kama unataka kujua list nzima unaweza kubofya link hapo juu na utapelekwa kwenye list nzima ya smartwatch za bei rahisi unazo weza kununua kwa sasa.

Twitter Kufuta Alama ya Verified April 1 Mwaka Huu

Posted by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.