in

Fahamu Tofauti ya iPhone 13 Pro na iPhone 13 Pro Max

Tofauti ya Sifa na bei ya simu mpya za iPhone 13 Pro na iPhone 13 Pro Max

Fahamu Tofauti ya iPhone 13 Pro na iPhone 13 Pro Max

Baada ya uzinduzi wa simu mpya za Apple sasa moja kwa moja twende tukangalie nini cha tofauti kwenye simu hizi. Kwa upande wa iPhone 13 na iPhone 13 Mini, tayari tumusha angalia tofauti iliyopo baina ya simu hizo.

Kwa sasa moja kwa moja twende tukangalie tofauti ya iPhone 13 Pro na iPhone 13 Pro Max. Unaweza kubofya link hapo juu ili kusoma zaidi kuhusu tofauti ya simu hizi.

Kampuni ya Nokia Kubadilisha Logo Yake ya "NOKIA"

Posted by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.