in

Smartphone Zenye Uwezo wa Kudumu na Chaji Zaidi

Hii hapa list ya simu zinazodumu na chaji zaidi hadi sasa mwaka 2021

Smartphone Zenye Uwezo wa Kudumu na Chaji Zaidi

Katika ulimwengu wa smartphone moja kati ya kitu ambacho ni muhimu sana ni uwezo wa smartphone kudumu na chaji kwa muda mrefu.

Kupitia makala hii nimekuletea list ya simu ambazo zina uwezo wa kudumua na chaji kwa muda mrefu zaidi kutokana na uwezo wake wa kuwa na battery kubwa zaidi. Simu hizo zote zinapatikana kwa sasa na unaweza kununua moja ya simu hizi na hakika utakubaliana na mimi kuwa simu hizi zina uwezo bora wa kudumu na chaji kwa muda mrefu.

Kwa kusema hayo moka kwa moja unaweza kubofya link hapo juu kuweza kuona list nzima ya simu hizi zenye uwezo wa kudumu na chaji kwa muda mrefu kwa sasa. Kumbuka list hii inaendelea kuongezwa kadri simu mpya zinapotoka.

Kampuni ya Airtel ya Kwanza Kuja na eSIM Tanzania

Posted by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.