in

Sunday Movie #19 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili

Movie nzuri unayoweza kuangalia siku ya leo ya mapumziko

Sunday Movie #19 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili

Kwa kuwa bado nchi yetu ipo kwenye maombolezo ya kumpoteza Raisi wetu Hayati Dokta John Pombe Magufuli na kwa kuwa siku ya jumapili ya jana watu wengi waliungana pamoja kutoa heshima za mwisho hivyo tuliona ni vyema kusitisha Sunday Movie kwa siku ya jana tarehe 22/3/2021.

Hivyo kwa kuwa leo ni siku ya mapumziko na baadhi ya sehemu tayari wamesha toa heshima za mwisho hivyo kama ulikuwa unataka kusindikiza siku yako na movie nzuri ya kuangalia pamoja na familia yako siku ya leo, basi unaweza kuangalia movie hapo chini.

Movie hii ni Animation lakini ni movie nzuri sana ambayo naamini unaweza kusindikiza siku ya leo huku ukiangalia wewe na watoto wako wasio pungua umri wa miaka 13. Unaweza kupata movie hii kupitia link hapo chini.

Pakua 480p (MB 451)

Pakua 720p (MB 951)

Kama umeona movie hii sio nzuri kwako na unataka zaidi unaweza kusoma hapa kujua movie nzuri ya sunday movie #18 iliyopita kwa wiki zilizopita. Mpaka siku nyingine natoa pole kwetu sote kwa msiba wa Raisi wetu mpendwa na nawatakia siku njema na mapumziko mema na mungu atubariki sote.!

Vodacom Yatangaza Ujio wa Teknolojia ya 5G Tanzania

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.