Popular Now
Claude Mythos Toleo Jipya la AI Lenye Kutishia Usalama 5

Claude Mythos Toleo Jipya la AI Lenye Kutishia Usalama

Google is Introducing a Search Bar Within Play Store Reviews 6

Google is Introducing a Search Bar Within Play Store Reviews

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 7

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Infinix Kusherekea Msimu Huu wa Upendo na Wateja Wake 8

Infinix Kusherekea Msimu Huu wa Upendo na Wateja Wake

Mwaka 2021 unazidi kuwa mwaka mzuri kwa wateja na wadau wote wa simu za Infinix. Hii inajidhihirisha kwa kufuatilia mwenendo wa kampuni ya simu Infinix Mobility kwani mnamo tarehe 6/2/2021 ilizindua promosheni yenye kuashiria upendo baina ya Infinix na wateja wake.

Kwa mujibu wa msemaji wa kampuni ya Infinix Aisha Karupa, alisema katika msimu huu wa valentine Infinix imekuletea promosheni ya #InfinixHotValentine ambayo inamuwezesha mteja atakayenunua simu ya Hot 10 play kupata nafasi ya kwenda dinner kwenye hoteli ya kifahari na mtu ampendaye”.

Infinix HOT 10 play ni simu mpya katika toleo la HOT na kama inavyofahamika toleo la HOT kutoka Infinix ni toleo lenye sifa nyingi ambapo sifa yake kubwa ni uwezo wa simu hiyo kudumu na chaji kwa muda mrefu.

Infinix HOT 10 play ni simu yenye battery ya ujazo wa mAh 6000, Memory iliyojengewa kwa ndani yenye ukubwa wa GB2/32 GB4/64 na camera yenye 8MP za selfie na 13MP nyuma.

Infinix Kusherekea Msimu Huu wa Upendo na Wateja Wake 9

Infinix HOT 10 play sasa inapatikana katika maduka yote ya simu nchini Tanzania, tembelea sasa katika maduka yao ya simu katika msimu huu wa Valentine ujipatie zawadi papo hapo kama vile vikombe vya Infinix, package ya zawadi za valentine na mlo wa usiku katika hotel ya kifahari kwa mteja atakaenunua HOT 10 play mbili kwa pamoja.

Previous Post
Apps Nzuri za Kuangalia Mpira Kupitia Simu ya Android 10

Apps Nzuri za Kuangalia Mpira Kupitia Simu ya Android

Next Post
Tengeneza Pesa Mtandaoni kwa Kutumia WhatsApp (2021) 11

Tengeneza Pesa Mtandaoni kwa Kutumia WhatsApp (2021)