in

Jinsi ya Kupokea SMS Zako Mpya Kwenye Email Yako

Kupitia njia hii utaweza kupokea SMS mpya zote kupitia kwenye email yako

5:38

Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia ni wazi kuwa kuna wakati unatamani kurahisha mambo kwa kuunganisha huduma moja na nyingine. Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutumia kupokea SMS zako mpya kupitia email yako au barua pepe.

Bila kuendelea kupoteza muda, moja kwa moja twende nika kuonyeshe hatua kwa hatua jinsi ambavyo unaweza kupokea SMS zote mpya kupitia barua pepe.

Mpaka hapo natumaini umeweza kupokea SMS zako mpya kupitia barua pepe, kama unataka kujua apps zilizotajwa kwenye video hapo juu unaweza kudownload kupitia link hapo chini.

Download App Hiyo Hapa

Kama unataka kuendelea kujifunza zaidi unaweza kusoma hapa kujua jinsi mtu anavyoweza kusoma SMS zako bila wewe kujua, ikiwa pamoja na jinsi ya kujilinda na hilo. Kwa maujanja zaidi hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania tech.

Tafsiri SMS au Meseji Yoyote ya WhatsApp kwa Haraka
Amani Joseph

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Avatar

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.