Wateja Wanaongea Nini Kuhusu Simu ya TECNO Spark 5 Pro

Maoni mbalimbali kuhusu simu mpya ya TECNO Spark 5 Pro
Wateja Wanaongea Nini Kuhusu Simu ya TECNO Spark 5 Pro Wateja Wanaongea Nini Kuhusu Simu ya TECNO Spark 5 Pro

TECNO Spark 5 pro ilizinduliwa rasmi tarehe 18/10/2020 ambapo ilikutanisha wadau wa simu za TECNO na wasanii mbalimbali akiwemo mchekeshaji maarufu Eric Mondi na DJ Maphorissa kutoka South Africa.

Tangu kuzinduliwa kwa simu hiyo imekuwa ni neema kwa watumiaji wa simu za Spark. TECNO Spark 5 pro imeonekana kukonga mioyo ya watu wengi hasa kutoka na uwezo wake waku ifadhi files nyingi pasipo uhitaji wa memory ya ziada. Spark 5pro ina ukubwa wa memory ya GB 64ROM + GB 3 RAM. Sifa nyengine za TECNO Spark 5 pro ni uhimili wake wa kudumu na chaji kwa muda mrefu kutokana na battery yake kuwa na ujazo wa mAh 5000.

Wateja Wanaongea Nini Kuhusu Simu ya TECNO Spark 5 Pro

Advertisement

Kwa wapenzi wa picha kali Spark 5 pro ni suluhisho kwetu, Spark 5pro imekuja na selfie ya megapixel 8 na nyuma in megapixel 16M+2M+2M+AI Lens za kamera.

Kama ilivyo ada mcheza kwao hutunzwa na ndivyo ilivyo kwa Spark 5 pro si mitandaoni tu bali hata kwa wenye maduka wamekuwa na mazuri ya kuzungumza kuhusiana na simu ya TECNO Spark 5 pro. “Spark 5pro ni kama baba kwenye familia bila yay eye mambo hayaendi basi ndivyo ilivyo kwa simu hiyo sokoni kwa sasa haiwezi pita siku pasipo simu 10 za Spark 5 pro kuuzika dukani” alisema mfanya biashara maarufu aliyejitambulisha kwa jina la Patel Kanjibai.

Wateja Wanaongea Nini Kuhusu Simu ya TECNO Spark 5 Pro

“Spark 5pro ni mkombozi kwetu sisi wanafunzi simu hii inamambo mengi mazuri sana napenda kasi yake ya kimtandao wa 4G, kasi ya processor 1.8 octa-core na mfumo wa uendeshaji wa Android 10” alisema mwanafunzi wa chuo cha IFM Bwana Frank Peter.

Wateja Wanaongea Nini Kuhusu Simu ya TECNO Spark 5 Pro

Baada ya huu uchunguzi inaonyesha kampuni ya simu TECNO imefaulu kwa hasilimia 100 kwenye toleo hili la Spark 5pro.

Ili kufurahiya huduma za TECNO Spark 5pro tafadhali usiache kuwatembelea katika maduka yao ya TECNO Smart Hub Kariakoo na Mlimani City lakini pia tembelea link Hapa hii kufahamu mengi mazuri kutoka TECNO.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use