Sunday Movie #12 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Hii hapa movie nzuri ya teknolojia unayoweza kuangalia jumapili ya leo 22/11/2020
Sunday Movie #12 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili Sunday Movie #12 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Karibu kwenye sunday movie, kama kawaida siku ya leo nimekuletea movie nzuri ambayo unaweza kuangalia jumapili hii unapokuwa nyumbani kwako.

Jumapili ya leo nimekuletea movie hii ambayo inahusu teknolojia na pia huku inafundisha kwa namna yake kutokuwa na muda zaidi na teknolojia kuliko maswala mengine ambayo yanafanya sisi wanadamu kuwa bora zaidi. Anyway unaweza kuangalia trailer hapo chini kujua zaidi.

Advertisement

Kama umependa movie hii unaweza kupakua kupitia link hapo chini, kumbuka link hizi zinaweza kuondolewa baada ya muda fulani hivyo hakikisha unapakua sasa.

Download Come Play Hapa

Kama ulipitwa na Sunday Movie #11 basi unaweza kusoma hapa kujua movie nzuri ya jumapili iliyopita, pia kama unayo maoni au ushauri unaweza kutuandikia kupitia sehemu ya maoni hapo chini. Nakutakia jumapili njema!

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use