in

Angalia Hapa Uzinduzi wa Apple iPhone 12 Ndani ya DK 12

Angalia hapa mubashara uzinduzi wa simu mpya za Apple za iPhone 12

Angalia Hapa Uzinduzi wa Apple iPhone 12 Ndani ya DK 1211:29

Kama wewe ni mpenzi wa bidhaa za Apple bila shaka unajua kuwa leo ndio ile siku kubwa kwani Apple wanaenda kutabulisha toleo la 12 la simu zake za iPhone.

Tayari zipo taarifa mbalimbali kuhusu simu hizi na tayari zimesha vuja picha mbalimbali za simu hizi lakini ningependa ujionee mwenyewe hivyo ungana nasi mubashara kabisa wakati apple wakizindua simu zao mpya za iPhone 12 huko nchini Marekani.

Baada ya uzinduzi kuweza kufanyika hatimaye sasa unaweza kuangalia uzinduzi mzima na yote ya muhimu yaliyotangazwa ndani ya dakika 12. Unaweza kuangalia kwa kubofya Play Hapo chini.

Kama unataka kujua sifa kamili na bei basi za iPhone 12, hakikisha unaendelea kutembelea tovuti ya Tanzania tech, bila kusahau priceintanzania.com

Kampuni ya Airtel ya Kwanza Kuja na eSIM Tanzania

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.