in

Sunday Movie #8 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Hii hapa movie nzuri ya kumalizia jumapili yako ya leo ya Tarehe 18/10/2020

Sunday Movie #8 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili3:18

Karibu kwenye Sunday Movie 8, kama kawaida ni jumapili nyingine tena na leo tunaenda kuangalia movie nyingine nzuri ya teknolojia ya kuangalia jumapili ya leo. Kwa siku ya leo sidhani kama kuna haja ya kuongelea sana movie bali unaweza kuangalia Trailer hapo chini.

Kumbuka movie hii sio nzuri kwa watoto kutokana na kuwa na sehemu zenye kuonyesha mapigano ambayo sio mazuri kwa watoto. Ni vizuri kuwa makini na movie hii na kuhakikisha una umri wa miaka 18 kabla ya kuangalia movie hii.

Pakua Hapa 6 Underground

Kama umepitwa na Sunday Movie 7, unaweza kusoma hapa. Pia kama unataka kujua jinsi ya kupakua movie kwa urahisi unaweza kusoma hapa.

Tatizo Instagram: Akaunti Kuwa Suspended Bila Kosa

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.