in

Sunday Movie #5 : Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Hii hapa Movie nzuri ya teknolojia ya kuangalia jumapili ya leo

Sunday Movie #5 : Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili2:32

Habari na karibu kwenye sunday movie, wakati jumapili ikielekea ukingoni nimeona nikuletee movie nzuri ya kumalizia jumapili yako. Kama kawaida movie nyingi zinazotajwa kwenye kipengele hichi kuwa ni movie zinazohusiana na teknolojia hivyo tegemea kuona teknolojia kwenye movie hii ya leo.

Sunday Movie ya leo inaitwa No Escape, movie hii inahusiana na mtengenezaji wa mauthui ya mtandaoni kwa njia ya video alijikuta kwenye wakati mgumu wakati akitafuta video bora kwaajili ya wafuasi wake.. Kujua zaidi hakikisha unaangalia movie hii.

Kumbuka Movie hii ina sehemu za kutisha ambazo kwa namna moja ama nyingine hazifai kuangalia watoto chini ya umri wa miaka 18.

Pakua No Escape Hapa

Kama unataka kujua movie nyingine zilizopita kwenye sunday movie, unaweza kusoma hapa au unaweza kusoma hapa kujua jinsi ya kuangalia movie za Netflix bure bila kulipia na bila kuwa na akaunti.

Jobs in Tanzania Leading Platforms for All Latest Jobs

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

2 Comments

  1. Naombeni msaada mimi ni follower wenu mzuri sana ila tatizo nikitaka kudownload kitu kupitia app yenu inakataa nabonyeza inakata na kurudi mwanzo bila kufanya chochote mfano nilitaka kupakua sunday movie ya wiki hii lakini nimeshindwa..