in

Ugumu na Ubora wa Simu Mpya ya iPhone SE (2020)

Angalia hapa ubora wa simu mpya ya iPhone SE (2020)

Ugumu na Ubora wa Simu Mpya ya iPhone SE (2020)

Kampuni ya Apple hivi karibuni ilizindua simu mpya ya iPhone SE (2020), simu hii inakuja kama toleo la bei rahisi la simu mpya za iPhone na pia simu hii ni toleo la maboresho la simu ya iPhone 8 simu ambayo ilizinduliwa takribani miaka mitatu iliyopita.

Sasa najua simu hii itakuwa ni moja kati ya simu itakayo pendwa na watanzania wengi hivyo nimeona nikuletee hii ambayo utaweza kujua kama simu hii inafaa kununua ama lah.. Basi bila kupoteza muda twende tuka angalie ubora na ugumu wa iPhone SE (2020). Kama unataka kujua zaidi soma hapa kufahamu sifa kamili na bei ya iPhone SE (2020) kwa hapa Tanzania.

Bila shaka hadi hapo utakuwa umejua kama simu hii inafaa kwa matumizi yetu ya Kitanzania. simu hii imeanza kupatikana tokea wiki iliyopita hivyo tegemea kupata simu hii hapa Tanzania kuanzia mwezi ujao wa tano mwaka 2020.

Usinunue Simu ya Android au iPhone ya Zamani

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.