Kampuni ya Samsung hivi leo inazindua simu zake mpya za Galaxy S20 na Galaxy Z Flip ikiwa pamoja na bidhaa zake mbalimbali. Moja kwa moja kutoka San Francisco nchini marekani tunakuletea uzinduzi huu mbashara kabisa. Angalia hapa uzinduzi rasmi wa Simu mpya za Samsung.
in Simu
Angalia Uzinduzi wa Samsung Galaxy S20 Ndani ya DK 6
Angalia hapa uzinduzi rasmi wa Galaxy S20 na Galaxy Z Flip

Naomba kufahamu je vitambulisho vya taifa vinakubalika na Admob kwenye verification naomba msaada wako tafadhali.