in

Mubashara Uzinduzi wa Samsung Galaxy S10 na S10 Plus

Angalia Live uzinduzi wa simu mpya za Galaxy S10 na Galaxy S10 Plus

Mubashara Uzinduzi wa Samsung Galaxy S10 na S10 Plus

Hayawi hayawi sasa yamekuwa… ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa dhati sasa imewadia, karibu kwenye Mubashara kabisa kwenye uzinduzi wa simu mpya za Samsung Galaxy S10 Galaxy S10 Plus pamoja na simu nyingine mpya ya Galaxy S10e na Galaxy Fold.

Hapo chini utaweza kuangalia mubashara yote yatakayo jiri kwenye mkutano wa uzinduzi wa simu hizi ambao unafanyika huko nchini Marekani. Karibu tuweze kuungana kwa pamoja kushudia historia nyingine kutoka kwa kampuni ya Samsung.

Update – Baada ya kufanyika kwa mkutano huo, unaweza kuangalia mkutano wote jinsi ulivyo kuwa ndani ya dakika 6, au unawezeza kuangalia video nzima ya masaa mawili iliyoko hapo chini. Chaguo ni lako kupitia video zote utaweza kujua yote ya muhimu yaliyojiri kwenye mkutano huo.

Video ya Dakika 6

Video ya Masaa 2

Haya hapa ni yote niliyo kukusanyia kuhusu Samsung Galaxy S10 pamoja na Galaxy S10 Plus.

Kampuni ya TECNO Yazindua Rasmi Spark 10 PRO

Kujua zaidi kuhusu simu hizi endelea kutembelea Tanzania Tech tutakuletea sifa kamili pamoja na bei ya simu hizi mpya kwa lunga ya kiswahili.

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.