Kama ilivyo subiriwa kwa hamu hatimaye kampuni ya Apple imeanza uzinduzi wa simu zake mpya pamoja na bidhaa mbalimbali. Jiunge nasi mubashara kabisa tukiangalia uzinduzi huu moja kwa moja kutoka nchini marekani.
in Simu
Video : Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa iPhone Mpya
Mubashara uzinduzi wa bidhaa mpya za Apple
