Video Vingamuzi

Video : Ufafanuzi wa Waziri wa Habari Kuhusu Ving’amuzi

Siku za karibuni kumekuwa na sinto fahamu kuhusu ving’amuzi kuweza kuonyesha chaneli za ndani. Hivi leo kupitia tovuti ya millard ayo, Waziri wa Habari ametoa ufafanuzi kuhusu sinto fahamu hiyo. Kupitia tovuti ya millard ayo huu hapa ndio ufafanuzi uliotolewa na waziri huyo wa habari Tanzania.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
TV 5 Zenye Ving’amuzi Vinavyo Onyesha Chaneli za Ndani Bure
Next Post
simu shuleni

Wanafunzi Waunda Mtambo wa Kunasa Matumizi ya Simu Shuleni