Video : Ufafanuzi wa Waziri wa Habari Kuhusu Ving’amuzi

Huu ndio ufafanuzi wa waziri wa habari kuhusu vingamuzi na chaneli za ndani
Video Vingamuzi Video Vingamuzi

Siku za karibuni kumekuwa na sinto fahamu kuhusu ving’amuzi kuweza kuonyesha chaneli za ndani. Hivi leo kupitia tovuti ya millard ayo, Waziri wa Habari ametoa ufafanuzi kuhusu sinto fahamu hiyo. Kupitia tovuti ya millard ayo huu hapa ndio ufafanuzi uliotolewa na waziri huyo wa habari Tanzania.

Advertisement

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *