in

Download Mfumo wa Uendeshaji (Firmware) Simu za Tecno

Pakua hapa mfumo wa simu yako ya Tecno 2018

mfumo wa uendeshaji wa Tecno

Kama imetokea simu yako ya tecno imeharibika kwa namna yoyote basi unaweza kutumia ukurasa huu kuweza kupata mfumo wa uendeshaji (Firmware) kwaajili ya simu yako. Tutaukuwa unaongeza mifumo ya simu mbalimbali za tecno kwenye list hii.

Kama utakuwa unataka mfumo wa simu yoyote ya Tecno unaweza kuandika kwenye sehemu ya maoni hapo chini nasi tutaongeza mfumo huo kwenye simu yako. Kama unataka kupata mifumo mingine ya Tecno, pamoja na kujua jinsi ya kuflash simu ya Tecno unaweza kusoma makala yetu iliyopita. Kumbuka hakikisha model ya simu yako kabla ya kupakua mfumo wa uendeshaji wa simu yako.

Mifumo ya Uendeshaji wa (Firmware) Simu za Tecno 2018

 • Tecno Phantom A6S (Tecno-A6S-H551C1-M-KESF-160911V10 )
  Download Hapa
 • Tecno A7 Phantom Z (Tecno-A7-G906-A1-KK-EG-20141111)
  Download Hapa
 • Tecno A9 Phantom 6 Plus Nougat Tcard (A9-H971A-N1-170725V72)
  Download Hapa
 • Tecno AX8S Phantom 8S (AX8S-H571B-N-KESF-170922V72)
  Download Hapa
 • Tecno C9 (C9-H535B1-M-160722V28) (Miracle Box Dump)
  Download Hapa
 • Tecno C9 (C9-H535-B1-M-HiOS-20160601) (Miracle Box Dump)
  Download Hapa
 • Tecno C9 3+32GB Plus / Pro (C9-H535-B1-Cl-M-161129V83) [Miracle Box Dump]
  Download Hapa
 • Tecno CX Air (CXAir-H3713A1-N-170330V91) [Miracle Box Dump]
  Download Hapa
 • Tecno F7 Phantom A+ 4.2 MT6589 Variant 1 (F7-AW990A-T09-20130622)
  Download Hapa
 • Tecno F7 Phantom A+ 4.2 MT6589 Variant 2 (F7-AW990A-T14-20130923)
  Download Hapa
 • Tecno G9 Phantom pad II (Tecno G9-T211-PIC-20140924) [Fixes charging issues]
  Download Hapa
 • Tecno H5 New OS variant 2 (Tecno H5-UP09-20140610-MP)
  Download Hapa
Usinunue Simu ya Android au iPhone ya Zamani

Updated 18-03-2019

Updating….

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

30 Comments