apple-wwdc-2018-ios12-iphone-min-1

Angalia Hapa Mubashara Mkutano wa WWDC 2018

Angalia hapa mubashara mkutano wa WWDC 2018, Kila mwaka Apple hufanya mkutano wa WWDC au Apple Worldwide Developers Conference, kwenye mkutano huo Apple hupata nafasi ya kuonyesha bidhaa zake mpya ikiwa pamoja na mambo mengine yanayohusu mifumo mipya ya uendeshaji ya vifaa vya kompyuta na Simu kutoka Apple. Angalia hapa Tamasha hilo Mubashara.

https://youtu.be/fWSsEQzRnOw

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
github
Kampuni ya Microsoft Yanunua Mtandao wa GitHub
Next Post
mfumo mpya wa iOS 12

Ujio wa Mfumo wa iOS 12 Haya Hapa Ndio Mabadiliko Mapya