in

Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Tecno Camon X

Angalia hapa live uzinduzi wa simu mpya ya Tecno Camon X

Uzinduzi wa Tecno Camon X

Kama wewe ni mpenzi wa simu za tecno basi ungana nasi mubashara kabisa kuangalia uzinduzi rasmi wa simu mpya ya Tecno Camon X pamoja na Tecno Camon X Pro. Kama unataka kujua sifa za simu hii ya tecno camon x unaweza kusoma sifa hizo kwenye makala yetu iliyopita.

Pia tutakuwa na video yenye kuonyesha jinsi tunavyo ifungua simu ya Tecno Camon X Pro ikiwa pamoja na uchambuzi kiasi kuhusu simu hii endelea kutembelea Tanzania Tech kujua mengi zaidi.

Usinunue Simu ya Android au iPhone ya Zamani

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.