in

Aina Saba 7 za Magari ya Kisasa Uliyokuwa Huyajui

Haya ndio baadhi ya magari ya kisasa na yanayo shangaza

magari ya kushangaza

Teknolojia inazidi kuwa kubwa kila siku, sio kwa upande wa simu na kompyuta pekee bali hata kwenye ulimwengu wa magari. Kudhirisha hayo kampuni mbalimbali za utengenezaji wa magari zimekuwa zinajitahidi sana kuwa tofauti na kampuni nyingine kwa kuleta aina mpya na za kisasa za magari ambayo pengine ni tofauti na magari tuliyo zoea kuyaona kila siku, kifupi ni kwamba kwa namna flani magari hayo yana shangaza kidogo.

Kwa sababu hapa Tanzania Tech hatutaki upitwe na jambo lolote linalo husu teknolojia, leo kwenye kipengele cha Jewajua tumekuelea makala hii ya aina saba za magari ya kisasa ambayo ulikuwa huyajui. Magari haya sio sawa na magari mengine na kiukweli kama wewe ni mpenzi wa teknolojia ya magari basi unahitaji kuangalia makala hii mpaka mwisho kabisa. Basi bila kupoteza muda.. Lets Gooo..

Kwa kifupi tu labda nikwambie magari haya ni yaukweli kabisa na nimejaribu kufanya uchunguzi kabla ya kuandika hapa hivyo naomba nikutoe wasiwasi kuhusu magari haya. Unaweza kusoma zaidi kuhusu magari haya hapo chini.

  1. Aero Mobil 3.0
  2. Hum rider
  3. Letrons
  4. Wild Fennec Defender
  5. Doubleback VW Camper
  6. Mercedes Vario Alkoven 1200
  7. EO Smart Connecting Car
Fahamu Maana ya Alama Hizi Kwenye Vifaa vya Elektroniki

Mpaka hapo natumaini sasa umeweza kujua aina hizi za magari ambayo yametengenezwa kwa teknolojia mpya mbalimbali. Je unaonaje magari haya..? Tuambie kwenye maoni hapo chini.

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

One Comment