in

Jinsi ya Kudownload Movies na Series Mpya Kupitia Simu Yako

Kama unataka movies na Series mpya kwa haraka unaweza kuzipata sasa

Kudownload Movies

Kwa namna moja ama nyingine wengi wetu tunapenda filamu (Movies) au Tamthilia (Series) na kama wewe ni mmoja wa wengi hao basi hii ni kwaajili yako. Njia hii ni rahisi sana na itakusaidia kuangalia Movies mpya au Series ambazo hata hazijafika kwenye baadhi ya kumbi za sinema hapa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla, moja kwa moja twende tukaanze mafunzo yetu.!

Kwa kuanza Download App hii kisha install vizuri kwenye simu yako, ukimaliza Download Tena App hii kisha install kwenye simu yako ukimaliza yote hayo endelea kwa kuangalia video hii fupi hapo chini ambayo itakuelekeza zaidi, ukimaliza utakuwa umefanikisha yote kirahisi kabisa, Kumbuka kushare na kama umekwama mahali usisite kuuliza hapo chini kwenye maoni.

Kumbuka Pia MX Player ni Muhimu kama unataka kuangalia live kupitia App hiyo unaweza kudownload App hiyo hapo chini.!

MX Player
Price: Free

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja yote ya teknolojia kwa njia ya video.

Jinsi ya Kuongeza uwezo wa RAM Kwenye Simu ya Android

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

17 Comments