Unajua Kuwa Samsung Galaxy Note 7 Imekatazwa Hata Tanzania

Samsung Galaxy Note 7 imekatazwa hapa tanzania
Galaxy Note 7 Galaxy Note 7

Kwa mujibu wa barua niliyo ikuta kwenye tovuti ya TCRA samsung galaxy note 7 imekatazwa kutumiaka hapa Tanzania, hata hivyo taarifa hiyo imtolewa toka mwaka jana 2016 mwezi october ikiwa inaeleza kuwa simu hiyo imezuiwa kuuzwa na kutumika kabisa hapa Tanzania, ifuatayo ndio taarifa hiyo kama ilivyo andikwa kwenye tovuti ya TCRA.

PUBLIC NOTICE

SAMSUNG GALAXY NOTE 7, BANNED IN TANZANIA

Advertisement

The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) informs the general public that importation and distribution of smartphone Samsung Galaxy Note 7 in the United Republic of Tanzania is banned for safety reasons.

Consumers who may have individually bought them abroad are required to switch them off and return them to where they were purchased or to a Samsung Agent Office that is nearby.

Issued by:
Director General
Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)
October 2016

Ni vyema usinunue au kutumia simu hii pale unapo iona popote pale ndani ya Tanzania, inawezekana ulikua hufahamu hili sasa utakuwa umefahamu. Kwa habari zaidi za teknolojia kutoka nje na ndani ya Tanzania endelea kutembelea Tanzania kila siku au unaweza kuwa wa kwanza kupata habari za teknolojia kwa kudownload app ya Tanzania tech.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use