Hizi Hapa Tovuti 10 za Tanzania Maarufu Zaidi Kwa Mwaka 2016

Hizi ndio tovuti kumi (10) za Tanzania ambazo zimetembelewa sana na watu wengi ndani ya mwaka huu wa 2016
Tovuti Tovuti

Mwisho wa mwaka ndio huo umekaribia na huu ndio wakati mzuri wa kuanza kuangalia ulichokifanya ndani ya mwaka huu mzima. Kwa upande wa teknolojia tutakua tukihesabu kumi bora za mambo mbalimbali na kwa leo twende tukaangalie tovuti kumi (10) za Tanzania ambazo zimetembelewa sana ndani ya mwaka huu 2016.

Namba 10 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 48

Tanzania Revenue Authority

Advertisement

  • Imetembelewa na Asilimia 91 ya Watanzania
  • Asilimia 2.7 Netherlands
  • Asilimia 0.7 Uganda

Namba 9 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 30

Mwananchi

  • Imetembelewa na Asilimia 79.8 ya Watanzania
  • Asilimia 5.4 United Kingdom
  • Asilimia 2.2 Iran

Namba 8 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 27

Mpekuzi Huru

  • Imetembelewa na Asilimia 86 ya Watanzania
  • Asilimia 5.8 China
  • Asilimia 1.9 Germany

Namba 7 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 25

Higher Education Students’ Loans Board

  • Imetembelewa na Asilimia 92.1 ya Watanzania
  • Asilimia 2.5 Ufaransa
  • Asilimia 2.0 United Kingdom

Namba 6 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 24

Swahili Times

  • Imetembelewa na Asilimia 88.7 ya Watanzania
  • Asilimia 1.8 United State
  • Asilimia 1.4 United Kingdom

Namba 5 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 21

M Bet

  • Imetembelewa na Asilimia 93.0 ya Watanzania
  • Asilimia 4.5 Ufaransa
  • Asilimia 0.7 United Kingdom

Namba 4 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 20

Bongo 5

  • Imetembelewa na Asilimia 76.0 ya Watanzania
  • Asilimia 7.4 Ufaransa
  • Asilimia 2.9 United State

Namba 3 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 10

Zoom Tanzania

  • Imetembelewa na Asilimia 91.4 ya Watanzania
  • Asilimia 1.0 Ufaransa
  • Asilimia 0.9 United Kingdom

Namba 2 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 8

Jamii Forum

  • Imetembelewa na Asilimia 74.5 ya Watanzania
  • Asilimia 7.3 Ufaransa
  • Asilimia 3.8 China

Namba 1 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 4

Millard Ayo

  • Imetembelewa na Asilimia 90.6 ya Watanzania
  • Asilimia 1.5 Kenya
  • Asilimia 1.2 United States

Na hiyo ndio list ya tovuti za Tanzania ambazo zimetembelewa sana ndani ya mwaka huu 2016, Ongera kwa tovuti ya Millard Ayo kwa kuwa namba 4 kwa tanzania ikitanguliwa na tovuti za google.com, youtube.com na yahoo.com. Data hizi zinatoka kwenye tovuti ya Alexa.com ambayo inahusika na kukusanya data za tovuti mbalimbali.

Kwa habari zaidi za teknolojia unaweza kujiunga nasi kupitia page zetu za Facebook, Instagram, Twitter pamoja na Youtube, pia kama unataka kupata habari za teknolojia kwa haraka pindi zitakapo toka unaweza kudownload App ya Tanzania tech kupitia Play store.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use