in

Matoleo Haya ya Android na iOS Yatakosa WhatsApp 2017

Kama unatumia matoleo haya ya Android na iOS ni vyema kubadisha simu yako kama unataka kutumia whatsapp 2017

iOS

WhatsApp ni moja kati ya programu bora ya kuchati kwa sasa, ubora wa programu hii unatokana na sehemu mpya zinazo ongezwa kila siku kwenye programu hii, pengine hiyo ndio moja kati ya sababu ya whatsapp kuacha kufanya kazi kwenye vifaa hivi ambavyo hadi kufikia mwaka 2017 vifaa hivi havitaweza kusupport programu hiyo bora ya kuchat.

Phones:

  • iPhone 3GS

OS versions:

  • iOS 6
  • Android 2.1
  • Android 2.2
  • BlackBerry OS
  • BlackBerry 10
  • Nokia S40
  • Nokia Symbian S60
  • Windows Phone 7

Ili kuangalia kifaa chako kinatumia toleo gani kwa mfumo wa Android bofya Settings alafu About kisha utaona palipo andikwa Android Version, kisha utaona toleo la kifaa chako. Kwa vifaa vya Apple mfumo wa iOS nenda Settings alafu General kisha About hapo utaona toleo la kifaa chako.

Kwa taarifa zaidi endelea kutembelea Tanzania tech kila siku au unaweza kujiunga na majadiliano kwenye mitandao yetu ya kijamii ya  Facebook, Twitter na Instagram pamoja na Youtube kama unataka kujifunza mambo mbalimbali ya teknolojia kwa njia ya Video. Pia kama unataka kupata habari zote za teknolojia kwa haraka unaweza kudownload sasa App yetu ya Tanzania tech kutoka Play Store na hivi karibuni itapatikana kupitia App Store.

Apps Zinazoweza Kufanya Simu Yako Kuwa Janja Zaidi

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.