Game Mpya ya Nintendo Kwaajili ya Smartphone Yako 1

Game Mpya ya Nintendo Kwaajili ya Smartphone Yako

Kampuni maarufu duniani ya Nintendo imetangaza kuachia game yake mpya ambayo itapatikana kwenye smartphone, kampuni hiyo ambayo ni maarufu sana duniani kwa kutengeneza game imetangaza kuachia toleo lake hilo jipya la game huko Marekani siku ya Alhamisi.

Game hiyo iliyopewa jina la Miitomo itakua katika mfumo wa mtandao wa kijamii ikiwa na uwezo wa kuchat, kubadilishana picha pamoja na mambo mengine mbalimbali. Watumiaji wa game hiyo wataweza kubadilisha muonekano wa game hiyo kwa kadri wanavyotaka, pia watumiaji wa game hiyo wataweza kukaribisha marafiki kotoka katika mitandao ya kijamii kama vile Facebook pamoja na Twitter.

Kwa wenye iOS unaweza kupakua Application Hiyo Hapa

Game Mpya ya Nintendo Kwaajili ya Smartphone Yako 2
The app was not found in the store. :-(

 

 

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
SnoopaVision Njia Mpya ya Kuangalia Video za Youtube 3
SnoopaVision Njia Mpya ya Kuangalia Video za Youtube
Next Post
Sasa Angalia Taarifa za Ndege Kwa Kutumia Facebook Messenger 4

Sasa Angalia Taarifa za Ndege Kwa Kutumia Facebook Messenger