Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Pakua Hapa Wallpaper za Simu Mpya za iPhone 13 (Download)

Pakua hapa Wallpaper halisi (Original) za Simu mpya za iPhone 13
Pakua Hapa Wallpaper za Simu Mpya za iPhone 13 (Download) Pakua Hapa Wallpaper za Simu Mpya za iPhone 13 (Download)

Simu mpya za iPhone 13 tayari zimezinduliwa rasmi, kama kwa namna yoyote hukufanikiwa kuangalia uzinduzi wa simu hizi mpya, basi unaweza kuangalia kupitia hapa ndani ya dakika 15.

Kwa sasa tayari unaweza kuangiza simu hizi mpya na moja kwa moja unaweza kupata kuanzia tarehe 24 ambapo ndio kampuni ya Apple inategemea kuanza kufanya shipping kwa baadhi ya wateja walio angiza simu hizi kwenye nchi mbalimbali.

Advertisement

Sasa kama wewe ni mpenzi wa simu hizi mpya za Apple iPhone 13, na bado unafikiria kama unataka kununua simu hizi mpya za iPhone 13 basi unaweza kuanza kwa kudownload wallpaper za simu hizi kisha ujaribu kwenye simu yako kuona muonekano wake.

Pakua Hapa Wallpaper za Simu Mpya za iPhone 13 (Download)
Ukizingatia toleo jipya la iOS 15 linatoka hivi leo ni wazi kuwa wallpaper hizi pamoja na mfumo mpya wa iOS 15 utaweza kupata muonekano wa iPhone 13 kwenye simu yako moja kwa moja.

Unaweza kudownload wallpaper hizi kupitia link hapo chini, hakikisha simu yako inayo programu ya ku-unzip file kwani wallpaper hizi zipo kwenye file la zip.

Download Wallpaper Hapa

Unaweza kuona hapo chini mfano wa Wallpaper ambazo utaweza kuzipata moja kwa moja baada ya kudownload file hilo.

Na hizi ndio baadhi ya wallpaper halisi za iPhone 13 ambazo unaweza kuzipata. Kama unataka kupata taarifa zaidi kuhusu simu hii mpya unaweza kusoma zaidi hapa.

Kwa habari zaidi za teknolojia na makala mbalimbali hakikisha una tembelea tovuti ya Tanzania Tech kila siku, pia usisahau kujisajili na channel ya Tanzania tech hapa ili kupata maujanja mbalimbali kwa njia ya video, by the way.! tunakuja na muonekano mpya kabisa kupitia channel yetu hivyo subscribe sasa kuhakikisha hupitwi.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use