Kampuni ya OnePlus hivi leo inazindua simu zake mpya za OnePlus 7 na OnePlus 7 Pro, Angalia hapa mubashara uzinduzi huo moja kwa moja kutoka nchini Marekani. Kama unataka kujua sifa kamili za simu hizi pamoja na bei yake kwa Tanzania hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania Tech.