Video : Ugumu na Ubora wa Samsung Galaxy Note 20 Ultra

Angalia simu hii inavyoweza kukufaa kulingana na ugumu au ubora wake
Video : Ugumu na Ubora wa Samsung Galaxy Note 20 Ultra Video : Ugumu na Ubora wa Samsung Galaxy Note 20 Ultra

Kama ulikuwa unafikiria kununua simu mpya ya Galaxy Note 20 Ultra basi pengine ni muhimu kusoma makala hii kabla ya kununua simu hiyo.

Kupitia video hapo chini utaweza kujua ugumu na ubora wa Galaxy Note 20 Ultra ikiwa pamoja na simu hii imetengenezwa kwa kutumia teknolojia gani ili kusaidia kujua kama itafaa kwa matumizi yako, Bila kuendelea kupoteza muda twende moja kwa moja ukafahamu ugumu na ubora wa simu hii mpya kutoka kampuni ya Samsung.

Advertisement

Kwa kuangalia video hapo juu, natumaini umefahamu kama simu ya Samsung Galaxy Note 20 Ultra ni simu bora kwako au kama sio simu itakayo kufaa. Kama unataka kujua zaidi hakikisha unendelea kutembelea Tanzania Tech kila siku.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use