Ubora na Kilicho Ndani ya Simu Mpya ya Samsung Galaxy S8

Kama wewe ni mpenzi wa sasmung galaxy s8 hii ni muhimu sana kwako
Galaxy s8 Galaxy s8

Simu mpya ya samsung galaxy s8 karibia inaingia sokoni lakini umesha wahi kujiuliza simu hiyo ina ubora gani, je ikianguka au ikiangukia kwenye moto au joto kubwa itakuaje, je kioo kina ubora gani.? kama wewe ni mmoja wa watu wanao jiuliza maswali hayo basi hii ni kwaajili yako.

Pamoja na hayo pia ulisha jiuliza simu hiyo imetengenezwaje ndani, je humo ndani ya simu hiyo ina nini.? basi kama wewe ni mmoja wa watu wanaojuliza maswali hayo basi hii ni kwaajili yako.

Advertisement

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja yote ya teknolojia kwa njia ya video.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use