Sunday Movie #7 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Angalia movie hii nzuri ya kumalizia jumapili yako tarehe 10 Octoba 2020
Sunday Movie #7 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili Sunday Movie #7 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Karibu kwenye sunday movie, kama kawaida kupitia hapa nakuletea movie nzuri ambazo unaweza kuangalia hapo nyumbani kwako leo siku ya jumapili. Kama ulipitwa na sunday movie zilizopita basi unaweza kusoma zaidi hapa, au unaweza kutafuta “Sunday Movies” kupitia sehemu ya kutafuta na utapata movie zote tulizo zichagua kwa jumapili zilizopita.

Kwa siku ya leo nina kuletea Series ambayo hii kwa kiswahili ni Tamthilia, Series hii inahusiana na teknolojia na imeanza kuonyeshwa kuanzia mwaka 2018 hadi sasa na inapatikana kwa Season mbili ambazo tayari zimesha kamilika. Series hii inaitwa Altered Carbon.

Advertisement

Download Altered Carbon season 1

Kama umemaliza kuangalia Season 1 unaweza moja kwa moja kuendelea na series kwa kuangalia sehemu inayofuata ndani ya Season 2 kupitia link hapo chini.

Download Altered Carbon season 2

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use