Simu Bora Zinazo Tarajiwa Kutoka Mwanzo wa Mwaka Huu 2017

Hizi ndio simu zinazotarajiwa kutoka ndani ya mwanzoni mwa mwaka huu
Simu Mwaka 2017 Simu Mwaka 2017

Huawei P10

Baada ya Huawei P9 sasa inakuja Huawei P10 ambayo inategemewa kutoka hivi karibuni mwaka huu, simu hii inategemewa kuja na maboresho mengi pamoja na teknolojia mpya. Wakati macheche yakiwa yanajulikana kuhusu simu hii zifuatazo ni baadhi ya sifa zinazotegemewa kuja na simu hiyo mpya ya Huawei P10.

Sifa Zinazotarajiwa Huawei P10

Advertisement

  • 5.5-inch QHD AMOLED display
  • Octa-core Hisilicon Kirin 960 processor
  • 4 or 6GB of RAM likely, possibly multiple configurations here
  • 32/64/128GB likely, microSD very likely
  • Dual camera setup, possibly similar or the same as the Mate 9’s
  • Android 7.0 Nougat

Na hizo ndio baadhi ya simu ambazo zinatarajiwa kutoka mwanzoni mwa mwaka huu 2017, ili kujua zaidi kuhusu simu hizi unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari mpya moja kwa moja zitakapo toka. Pia ili kujifunza kwa Video unaweza kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech kupitia youtube.

Baadhi ya Picha : Android Authority

7 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use