Zijue kwa Undani Hizi Hapa Ndio Sifa za iPhone 8 na iPhone 8 Plus

zifahamu vizuri hizi hapa ndio sifa za simu mpya ya iPhone 8 na iPhone 8 plus
Sifa za iPhone 8 Sifa za iPhone 8

iPhone 8 tayari imesha toka muda sio mrefu na kama kawaida kampuni ya Apple mwaka huu imefanya mabaoresho kadhaa kwenye simu hizo na kazi yetu ni kukujulisha mabadiliko hayo kwa undani kabisa.

Kwa kuanza basi ni vyema kujua yaliyojiri kidogo kwenye uzinduzi wa iphone 8. Kama ambavyo watu wengi walitabiri iPhone 8 imekuja na maboresho kadhaa na maboresho hayo naweza kusema ni ya kawaida sana. Lakini pamoja na hayo Apple imeweza kuongeza uwezo zaidi kwenye iphone 8 kwa kuweka processor mpya zenye nguvu zaidi na kwa kusema hayo basi tuangalie sifa kamili za iphone 8 pamoja na iphone 8 plus.

Advertisement

Sifa za iPhone 8

 • Ukubwa wa Simu  – 138.4mm x 67.3 x 7.3 mm
 • Uzito wa Simu – Weight: 148g
 • Ukubwa wa Kioo – Inch 4.7 yenye teknolojia ya LCD display na resolution ya 1334 x 750 / 326 ppi and 625 cd/m2 max brightness  (Retina HD display)
 • Uwezo wa Processor – six-core A11 Bionic chip with 64-bit architecture, neural engine, and M11 motion coprocessor
 • Ukubwa wa RAM – GB 2 (haijadhibitishwa)
 • Ukubwa wa Ndani – Zipo Aina Mbili GB 64 na GB 256
 • Kamera ya Nyuma – Ipo moja yenye uwezo wa Megapixel 12 yenye iSight camera with f/1.8 aperture, optical image stabilization, six-element lens
 • Kamera ya Mbele – Megapixel 7 yenye FaceTime camera with f/2.2 aperture
 • Ulinzi – Touch ID fingerprint sensor
 • Uwezo wa Wi-Fi – 802.11a/b/g/n/ac Wi‑Fi with MIMO
 • Uwezo wa Mtandao – LTE Advanced
 • Uwezo wa Bluetooth – Inatumia teknolojia ya Bluetooth 5.0
 • Mfumo wa Uendeshaji – iOS 11
 • Uwezo wa Kuzuia Kuinga Maji – IP67 splash, water, and dust resistance
 • Uwezo wa Battery – Inakaa hadi masaa 14 (ukiwa unaongea), Masaa 12 (ukiwa unatumia Internet), Masaaa 13 (ukiwa unangalia video) pamoja na Masaa 40 (ukiwa unasikiliza mziki)
 • Uwezo wa Chaji – inauwezo wa fast-charging inaweza kujaa chaji asilimia 50 ndani ya dakika 30.
 • Uwezo wa Kuchaji Bila Waya – Inauwezo wa Kuchaji bila waya huku ikiwa na teknolojia ya Qi wireless charging support
 • Bei – Bei ya iPhone 8 inaanzia dollar za marekani $699, sawa na shilingi za kitanzania Tsh 1,600,000 (bei inaweza kuongezeka kwa Tanzania)
 • Rangi – silver, space gray, gold finishes
 • Upatikanaji – Kuagiza Kuanzia Sept. 15, na utaipata kuanzia Sept. 22

Sifa za iPhone 8 Plus

 • Ukubwa wa Simu  – 158.4mm x 78.1 x 7.5 mm
 • Uzito wa Simu – Weight: 188g
 • Ukubwa wa Kioo – Inch 5.5 yenye teknolojia ya LCD display na resolution ya 1334 x 750 / 440 ppi and 625 cd/m2 max brightness  (Retina HD display)
 • Uwezo wa Processor – six-core A11 Bionic chip with 64-bit architecture, neural engine, and M11 motion coprocessor
 • Ukubwa wa RAM – GB 3 (haijadhibitishwa)
 • Ukubwa wa Ndani – Zipo Aina Mbili GB 64 na GB 256
 • Kamera za Nyuma – Zipo mbili zenye uwezo wa megapixel 12 wide-angle camera yenye f/1.8 aperture na nyingine yenye Megapixel 12 f/1.8 camera yenye f/2.8 aperture, optical zoom up to 2x, optical image stabilizatio
 • Kamera ya Mbele – Megapixel 7 yenye FaceTime camera with f/2.2 aperture
 • Ulinzi – Touch ID fingerprint sensor
 • Uwezo wa Wi-Fi – 802.11a/b/g/n/ac Wi‑Fi with MIMO
 • Uwezo wa Mtandao – LTE Advanced
 • Uwezo wa Bluetooth – Inatumia teknolojia ya Bluetooth 5.0
 • Mfumo wa Uendeshaji – iOS 11
 • Uwezo wa Kuzuia Kuinga Maji – IP67 splash, water, and dust resistance
 • Uwezo wa Battery – Inakaa hadi masaa 14 (ukiwa unaongea), Masaa 12 (ukiwa unatumia Internet), Masaaa 13 (ukiwa unangalia video) pamoja na Masaa 40 (ukiwa unasikiliza mziki)
 • Uwezo wa Chaji – inauwezo wa fast-charging inaweza kujaa chaji asilimia 50 ndani ya dakika 30.
 • Uwezo wa Kuchaji Bila Waya – Inauwezo wa Kuchaji bila waya huku ikiwa na teknolojia ya Qi wireless charging support
 • Bei – Bei ya iPhone 8 Plus inaanzia dollar za marekani $799, sawa na shilingi za kitanzania Tsh 1,800,000 (bei inaweza kuongezeka kwa Tanzania)
 • Rangi – silver, space gray, gold finishes
 • Upatikanaji – Kuagiza Kuanzia Sept. 15, na utaipata kuanzia Sept. 22

Na hizo ndio sifa za iPhone 8 pamoja na iPhone 8 Plus ambazo zimetoka rasmi leo, kabla ya kumaliza ni vyema ukajua kuwa mwaka huu Apple imezindua simu nyingine ya iPhone 10 au iPhone X ambayo sifa zake zinapatikana Hapa. Pia kama ulipitwa hapo jana unaweza kuangalia hapa uzinduzi wa simu hizo ulivyokuwa ndani ya dakika 13.

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa Video.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use